MABINGWA LIGI KUU TANZANIA TANGU KUANZISHWA KWA LIGI KUU 1965

Young Africans SC mara 27
Simba SC mara 18
Mtibwa Sugar mara 2
Mseto mara 1
Cosmopolitan mara 1
Coastal Union 1
Tukuyu 1
Pan Africans mara 1
Azam mara 1
Kuanzia mwaka 1965 mpaka 1982 ligi hii ilikuwa ikijumuisha timu za Tanzania bara na visiwani baada ya hapo kila shirikisho kuendelea na ligi yake, FAT ( sasa TFF ) kwa upande wa Tanzania bara na ZFA kwa upande wa Zanzibar.
Kwa mtazamo huo Young Africans wanabaki mabingwa wa kihistoria nchini.
Ligi hii mwanzoni ilijulikana kama ligi daraja la kwanza ( sasa ligi kuu )
Na samuel samuel

Comments
Post a Comment