MACHUNGU YA WANASIMBA TETESI ZA MO KWENDA YANGA
kumbukwe kwa sasa Mohamed Ibrahim almaharufu kama "MO" wanavyopenda kumuita Wanamsimbazi hao amekuwa guzo kubwa mitandaoni na hata kwenye vyombo mbalimbali vya habari akihusishwa kutimkia Yanga Sc ambao wanahitaji huduma ya mchezaji huyo tokea akiwa Mtibwa Sugar ya pale Morogoro inayocheza ligi kuu.
Kutokana na Sintofahamu inayoendelea ndani ya Simba na hata kwa mchezji mwenyewe inaonyesha MO akiwa na furaha japo kuna picha mbalimbali zikimuonyesha kama MO amekuwa hana furaha ndani ya Wekundu wa Msimbaza.
Kutokana na hali hiyo mmoja wa Wapenzi wa soka ameweza kuonyesha hisia zake kwa MO na hata alipondokewa na Ajibu kwenda Yanga na wachezaji wengine akiwataja pia ......... Mpenda soka huyo anaeleza kwa machungu jinsi gani anavyomkubali MO na jinsi gani uongozi unavyowatesa mashabiki hao. Hata hivyo inaonyesha habari hizo ni za uongo za MO kwenda Yanga Sc.......
Na, BARAKA MBUBA,
........."Nimeona wadau wengi wa SIMBA wakipinga kuondoka kwa "mo" Iblahirm. Tatizo la viongozi wetu wa SIMBA hawapoagi ushauri kutoka kwa mashabiki, ulafiki wa mashabiki unaonekana kiwanjani wakiwaingizia kipato. kwanza mashabiki walilia kuondoka kwa AJIBU lakini wakamuacha akaondoka, mashabiki walipiga kelele asiondoke BUKUNGU wakamucha wakamsajili KAPOMBE. Leo hii kuna watu wanatoa maoni kwamba pamoja na kuongoza ligi mfumo wa kocha wetu OMOG sio mzuri kwa timu yetu, Lakini uongozi unaita waandishi wa habari na kusema hao mashabiki hawana mapenzi mema na timu. tena hata baadhi ya sisi wenyewe mashabiki tunamajibu mabaya, mtu anatoa ushauli utashangaa mwingine anamjibu, kaongoze wewe, mala kojoa ukalale. kwahiyo hatuwezi kufika. Kwasasa usajili umefika utashanga wanamtoa MAVUGO wanamuleta DANY LYANGA eti mbadala wake. basi tutafanyeje".
Kama kweli itatokea MO atakwenda Yanga Sc basi mashabiki wa Simba Sc wataumia Sana na kutoa machozi kimya kimya kama ilivyokuwa kwa Ajibu na Hata Hamis Tambwe ambaye anawanyoosha kwa sasa.
liaterYcae_dzu John Chongbang Download crack
ReplyDeletealadtobkonf
crepviria-do_1998 Ben Smith Avira Phantom VPN Pro 2.41.1.25731
ReplyDeleteQ-Dir 10.96
Corel VideoStudio Ultimate 2022 v25.1.0.472
Tenorshare iCareFone 8.4.4
passnnaltalbei