MAJIBU YA KAPOMBE KWA ZAKARIA HANS POPE

" Shomari ni muoga tu ... hatuwezi kuvumilia kumlipa bure mshahara ... anatakiwa kucheza sivyo tutamuacha... vipimo vinaonesha mzima ..."
Kauli ya mwenyekiti wa usajili Simba SC ndugu Hans Pope juu ya majeraha ya muda mrefu ya beki wa kulia wa timu hiyo Shomari Kapombe.
Simba ilimsajili mlinzi huyo toka Azam FC lakini ameshindwa kuichezea timu hiyo kutokana na majeraha ya muda mrefu.
Pope amaefanya mahojiano na kituo cha redio cha EFM


" kama wanataka kuvunja mkataba wavunje ....mie bado naumwa na daktari kaniambia huenda nitaanza kucheza mzunguko wa pili sasa kama yeye anaongea na vyombo vya habari bila kuniuliza mimi mie sijui hilo . Mie siogopi kucheza... nishacheza sana sasa mtu kusema naogopa kucheza simuelewi"
Shomari Kapombe 
Beki wa kulia wa Simba SC akijibu tuhuma za Zakaria Hans Pope !

EFM Sports HQ

Comments

Popular posts from this blog

Education for liberation and self-reliance By J.K.NYERERE

MABINGWA LIGI KUU TANZANIA TANGU KUANZISHWA KWA LIGI KUU 1965

MALALAMIKO MCC KUHUSU GOLI LA KICHUYA YATU BODI YA LIGI NA TFF