AJIBU WA YANGA DAH! KOMBINESHENI YAKE NA CHIRWA NI MOTO WA KUOTEA MBALI

Ajibu wa YANGA ndivyo unavyoweza kusema.  mchezaji mahili wa timu ya dar young africa maarufu kama YANGA leo amezidi kudhihirisha kuwa yeye ni moto wa kuotea mbali hasa baada ya kuonesha kiwango bora zaidi katika kila mechi aliyo kichezea kikosi cha wanajangwani hao. Ajibu ameweza kufunga magori mengi ambayo huwa yanawainua wapenzi wote wa soka nchini.
Ajibu ibra kadabla migomba au miguu ya zahabu huzikonga nyoyo za wapenzi wa soka nchini si kwa kufunga tu magori au kutoa pasi safi bali hata staili yake ya uchezaji chenga n.k.  ajibu hana mpinzani sasa nchini kutokana kua na aina ya peke yake ya kuli sakata gozi la ng'ombe awapo uwanjani kwani huleta burudani hakika.
Muunganiko wake na Obrey Chola Chirwa raia wa zambia hakika ina onekana kuwa bora kila kukicha , katika mechi mbili za mwisho wamelidhihirisha hilo kwa kutengenezeana pasi za Magori kila wapatapo nafasi na kufunga. Hakika wameonesha uelewano mzuri sana wachezaji hawa na kuweza kuifanya yanga kuonesha ubora wake.
KOCHA GEORGE LWANDAMINA
Kila taaluma ina mwenyewe ndivyo unavyoweza  kusema. hakika kocha huyu anazidi kuonesha kuwa yeye coach by professional na habahatishi. Ukiikumbuka Yanga wakati ligi inaanza utagundua kuwa GL ni master. Anaweza kumtengeneza kila mchezaji na kumtumia na kuisaidia team kufanya vyema, ameweza kuwatumia wachezaji kama vile makapu J. Martin E, Maka E, Saidi M, Mhilu Y, na Ngonyani Y. 
kocha amempanga leo Pato Ngonyani ka kiungo mkabaji lakini kacheza kwa kiwango kizuri sana kwani ameweza kuvunjilia mbali mipango yote ya Chama la wana.
KWA UJUMLA YANGA imeonesha kiwango bora sana na kuonekana kubadilika kila siku na kuonesha kwamba wanatuma salam kwa simba 28/10/2017
FT YANGA 4-0 STAND UNITED




Comments

Popular posts from this blog

Education for liberation and self-reliance By J.K.NYERERE

MABINGWA LIGI KUU TANZANIA TANGU KUANZISHWA KWA LIGI KUU 1965

MALALAMIKO MCC KUHUSU GOLI LA KICHUYA YATU BODI YA LIGI NA TFF