HII NDIYO RECORD MPYA YA YANGA

Timu ya soka ya dar es salaam young africa maarufu kama ''YANGA'' imefanikiwa kuvunja record ya aina yake katika mzunguko wa kwanza wa ligi kuu tanzania bara maarufu kama vodacom premere league katika round ya sita.
Yanga imekua tea pekee katika mzunguko wa sita wa mwendelezo wa ligi kuu tanzania bara, record hii inatokana na ukweli kwamba ni YANGA pekee iliyofanikiwa kujinyakulia point tatu mhimu katika uwanja wa kaitaba mjini kagera.Timu zingine zote zilifanikiwa kugawana point sawa katika viwanja vyote.
Aidha katika ligi kuu yanga wakiandika record hiyo team zingine zimefanikiwa kutokukubari kuwa uchochoro wa team zingine kujibebea points. hii inaleta taswira kuwa ligi kuu tanzania bara itakua ngumu sana na kwamba bingwa hatapatikana kirahisi
katika ushindi huo Yanga ilishinda kwa gori 2 dhidi ya 1 la kagera, wadau wa soka apa nchini kwa nyakati tofauti wa mekiri kuwa ligi ya msimu wa 2017/2018 itakua ngumu sana kuliko misimu mingine/ kutokana na jinsi team zilivyo jipanga.


Comments

Popular posts from this blog

Education for liberation and self-reliance By J.K.NYERERE

MABINGWA LIGI KUU TANZANIA TANGU KUANZISHWA KWA LIGI KUU 1965

MALALAMIKO MCC KUHUSU GOLI LA KICHUYA YATU BODI YA LIGI NA TFF