KWA HILI KWELI YANGA NI WA KIMATAIFA
Ukumbi wa habari wa Yanga ktk muonekano Mpya, Pale Ambapo wanakaa Viongozi kwa Ajili Ya kufanya Press na Waandishi wa Habari, au Wakuu Wa Matawi ya yanga kwa Ajili ya kuwahabarisha Yanayo Jiri, au yaliyojiri Ndani ya CLUB YA YANGA SC
DAIMA MBELE NYUMA MWIKO
Aidha uongozi wa yanga umesema Mapato yatakayopatikana ktk Game ya Kirafiki Siku ya Juma pili pale CHAMAZI COMPLEX yatasaidia kujaza au yatatumika kujaza KIFUSI ktk Uwanja wetu wa Kaunda kwa ajli ya matengenezo ya UWANJA WETU WA MAZOEZI
Pia uongozi wa timu ya yanga umesema kuwa wapenzi na na wanachama wajitokeze kwa wingi ili kuisapot timu yao.N ukuu ''TUJITOKEZE KWA WINGI UWANJANI GAME ITAKUWA SAA 1:00 USIKU''mwiso wa kunukuu
Comments
Post a Comment