NIYONZIMA AFANYA WAMZI UFUATAO SIMBA

" nimehitaji mazoezi binafsi kujiweka sawa . Nahitaji kuwa bora kwa kipaji changu na timu yangu" Niyonzima. 
Aidha Niyonzima amechukua uamzi huo akidai kua kuna baadhi ya wadau wa Simba wanaomlaumu kuwa kiwango chake kimeshuka . hivyo kutokana na hayo yote niyo ameahidi kujiweka sawa ili kujihakikishia nafasi ndani ya Simba
Niyonzima aliyepata kuwika ndani ya kikosi cha mabingwa watetezi wa ligi kuu tanzania bara kwa mara tatu mfurulizo akiwa kama mchezaji wa kigeni aliyecheza miaka mingi ndani ya yanga na kufanya vizuri na miamba hao, anahitaji kujiweka sawa ili afanye vizuri na miamba simba ambao niwa tani wa jadi

Comments

Popular posts from this blog

Education for liberation and self-reliance By J.K.NYERERE

MABINGWA LIGI KUU TANZANIA TANGU KUANZISHWA KWA LIGI KUU 1965

MALALAMIKO MCC KUHUSU GOLI LA KICHUYA YATU BODI YA LIGI NA TFF