KIFAA HIKI CHAONGEZWA STARS

Nikatika harakati za kuimarisha kikosi cha timu ya taifa ya tanzania maarufu ''Taifa stars'' mchezaji Mohamedi Issa maarufu kama  " Mo Banka" aongezwa timu ya taifa almaarufu kama Taifa Stars toka Mtibwa Sugar. Stars jumamosi hii watacheza mechi ya kirafiki dhidi ya Malawi mchezo uliopo kwenye kalebda ya FIFA.

mchezaji huyo aliyeng'ara na kikosi cha mtibwa sugar inayoshiriki ligikuu tanzania bar ''VODACOM" amemshawishi kocha mkuu wa taifa stars mtaalamu Salum mayanga na kuamua kumujumuisha katika kikosi hicho.
Aidha mchezaji huyo alionesha kiwango cha hali ya juu katika mechi ya ligi kuu kati ya YANGA na MTIBWA. wadau wengi wanasema anastahili kujumuishwa katika kikosi hicho,  '' ni mchezaji mzuri akipewa nafasi na akajituma anaweza kufanya vizuri na kuisaidia timu ya taifa(alisema mdau mmoja wa mpira).
Pia wadau wa soka nchini mnaombwa kujitokeza kwa wingi uwanja waa taifa ili kuisapoti timu yetu ya taifa katika mchezo dhidi ya malawi  

Comments

Popular posts from this blog

Education for liberation and self-reliance By J.K.NYERERE

MABINGWA LIGI KUU TANZANIA TANGU KUANZISHWA KWA LIGI KUU 1965

*20 REASONS WHY YOU SHOULD BECOME AN HELPING HAND INTERNATIONAL (H2i) MEMBER*.