YANGA YAPATA PIGO TENA

Mabingwa wa mpira wa miguu Tanzania ambao ni mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania bara maarufu kama Dar young African huenda wakamkosa mshambuliaji wao wa kimataifa kutoka Zimbambwe Donald Dombo Ngoma kutokana na majeraha

Taarifa za ndani ya kilabu hiyo zinasema kuwa Ngoma aliumia misuri kati ya mechi yao dhidi ya mtibwa iliyofanyika m,wishoni mwa wiki iliyopita. Taarifa zinadai kuwa Ngoma alishindwa kufanya mazoezi na timu katika maandalizi ya timu hiyo dhidi ya kagera sugar itakayopigwa tar 14/10/2017.

Aidha kikosi cha Yanga kinaendelea na mazoezi yake ikiwa ni kujifua na mtanange huo pale kaitaba. habari zingine kutoga Yanga zinadai kuwa wachezaji wote wako vizuri na wana ari ya ushindi dhidi ya kagera.
Tambwe aanza mazoezi rasmi, mshambuliaji wa kimataifa Amis Joselin Tambwe alimarufu Mtambo wa magori huenda akaanza mechi ijayo pale kaitaba

Comments

Popular posts from this blog

Education for liberation and self-reliance By J.K.NYERERE

MABINGWA LIGI KUU TANZANIA TANGU KUANZISHWA KWA LIGI KUU 1965

MALALAMIKO MCC KUHUSU GOLI LA KICHUYA YATU BODI YA LIGI NA TFF