SHABIKI WA YANGA AMJIBU MANARA KWA HOJA
Simba ya mwaka huu ni hatari sana usajili wetu 1.3 cc tuko vizr
Simba point 11Azam point 11
Mtibwa po. 11
Simba 0 Azam 0
Simba 2 Mbao 2
Simba 0 Mirambo 0
Azam kafungwa 1
Yooth Rostan 2
Tinoko. 2
Viwanja
Azam _ Azam complex chamazi
Mtibwa _Manungu Moro
Yanga _ Kaunda Dar upo jangwani pic
zipo kwa anaetaka
Simba_ mpaka sasa uwanja haujulikani
Nikimckia mtu anaongea ama zake ama zangu email msangialfayo@gmail.com
Simba ya mwaka huu tunakikosi kipana
Simba ya mwaka huu iko vizuri kipa Tanzania One yupo simba
Manula kafungwa 3
Simba ya mwaka huu Pesa kibao
Dereva anadai milioni tano yupo muhimbili wamemtelekeza
Simba ya mwaka huu pesa lukuki
Hivi ninyi mashabiki mazuzu umetowa wapi ujasiri wa kusema simba tajiri
Semeni hv MO ndio mwenye pesa na co simba mazuzu ninyi
Tena huo msemo mnaosema simba tajiri nicuckie tena leo iwe mwanzo na mwisho mkome

Comments
Post a Comment