Baraka Adson Mpenja : Ajibuuuuuuuuuuuu................

" tuwe na kiasi katika mapenzi ya soka. Jiandae vyema kisaikolojia kupokea matokeo ya aina yoyote ya timu yako. Wengi wamepoteza maisha au kupata matatizo makubwa kiafya kisa ushabiki tu wa mpira . Ni vyema kuipenda timu yako lakini mapenzi yenye gharama ya uhai tumpe Mungu kwanza ! " 

" ushawahi kukosa misa msikitini au kanisani ukazimia kwa hofu ya kumkosea Mungu namna hii?👇🏽au kutenda maovu ukawa na hofu kuu kama uliyonayo hivi sasa kuelekea mechi hii?! Hapana tuikatae hali hii kwa nguvu zote " 

Samuel
USHAURI WA BURE
Kesho kila mmoja wetu awe shabiki wa simba au yanga ajiandae kisaikolojia kwa matokeo ya aina yoyote ile. hii ni katika kujiweka sawa kujiepsha na mshituko pindi timu yako itakapopata matokeo kinyume na matarajio.

Comments

Popular posts from this blog

Education for liberation and self-reliance By J.K.NYERERE

MABINGWA LIGI KUU TANZANIA TANGU KUANZISHWA KWA LIGI KUU 1965

MALALAMIKO MCC KUHUSU GOLI LA KICHUYA YATU BODI YA LIGI NA TFF